1 Corinthians 10:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo kila anayedhani kuwa yuko imara katika imani yake, basi awe mwangalifu asianguke.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo: ajiwaziaye kwamba amesimama, aangalie, asianguke!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo yule anayefikiri kwamba anasimama imara, afanye angalisho asianguke.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi anaejidhani amesimama aangalie asianguke.