1 Corinthians 10:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wapendwa wangu, zikimbieni ibada za sanamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo rafiki zangu wapenzi, zikimbieni ibada za sanamu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wapenzi wangu, zikimbieni ibada za sanamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wapenzi wangu, zikimbieni ibada za sanamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo, wenzangu wapendwa, yakimbieni matambiko ya mizimu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo wapenzi wangu, muepuke kutambikia sanamu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu.