1 Corinthians 10:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nasema watu wenye ufahamu, amueni wenyewe kuhusu haya niyasemayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nasema kama na watu wenye akili; lifikirini ninyi ninenalo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi ni watu wenye akili. Upimeni ukweli wa haya ninayosema sasa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nasema nanyi kama na watu wenye ufahamu, amueni wenyewe kuhusu haya niyasemayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nasema watu wenye ufahamu, amueni wenyewe kuhusu haya niyasemayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nasema kama na watu wenye akili; lifikirini ninyi ninenalo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasema nanyi, kwa kuwa m wenye akili; yatambueni ninyi, niyasemayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nasema kama na watu wenye akili; lifikirini ninyi ninenalo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninasema nanyi kama watu wenye akili; muamue ninyi wenyewe juu ya maneno ninayotaka kuwaambia:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nasema kama nti watu wenye akili; ufikirini ninyi ninenalo.