1 Corinthians 10:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Angalieni kwa mfano Wayahudi wenyewe: Wale wanaokula tambiko wanaungana na hiyo madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waangalieni watu wa Israeli: Je, wale wote walao dhabihu si ni wale watendao kazi madhabahuni?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waangalieni hao Waisraeli walivyokuwa kwa jinsi ya mwili; wale wazilao dhabihu, je! Hawana shirika na madhabahu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na fikirini kuhusu Waisraeli wanavyofanya. Wanapokula sadaka, wanaunganishwa pamoja kwa kugawana kile kilichotolewa kwenye madhabahu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Chukueni, kwa mfano, Wayahudi wenyewe: kwao, wenye kula vilivyotambikiwa madhabahuni waliungana na hiyo madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Angalieni kwa mfano Wayahudi wenyewe: wale wanaokula tambiko wanaungana na hiyo madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waangalieni watu wa Israeli: Je, wale wote walao dhabihu si ni wale watendao kazi madhabahuni?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waangalieni watu wa Israeli: Je, wale wote walao dhabihu si ni wale watendao kazi madhabahuni?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waangalieni hao Waisraeli walivyokuwa kwa jinsi ya mwili; wale wazilao dhabihu, je! Hawana shirika na madhabahu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Angalieni kwa mfano Wayahudi wenyewe: Wale wanaokula tambiko wanaungana na hiyo madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwatazame walio Waisiraeli kwa kuzaliwa! Wenye kuzila nyama za tambiko sio wenye bia ya meza ya kutambikia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waangalieni hao Waisraeli walivyokuwa kwa jinsi ya mwili; wale wazilao dhabihu, je! Hawana shirika na madhabahu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muangalie mufano wa Waisraeli: wale wanaokula vitu vinavyotolewa sadaka juu ya mazabahu wanaungana na Mungu kwa njia ya sadaka ile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Waangalieni Israeli walivyokuwa kwa jinsi ya mwili; wale wazilao dhabihu, je! hawana shirika na madhbahu?