1 Corinthians 10:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote walibatizwa katika umoja na Mose katika lile wingu na katika ile bahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wakabatizwa kuwa wa Musa ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walibatizwa wote katika Musa katika wingu na katika bahari.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wote walibatizwa katika umoja na Mose kwa lile wingu na ile bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote walibatizwa katika umoja na Mose katika lile wingu na katika ile bahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wakabatizwa kuwa wa Mose ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wakabatizwa kuwa wa Musa ndani ya lile wingu na ndani ya ile bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote walibatizwa katika umoja na Mose katika lile wingu na katika ile bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wakabatiziwa Mose walipokuwa winguni na baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote walibatizwa katika lile wingu na katika ile bahari kusudi wapate kuungana na Musa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wote wakabatizwa kwa Musa katika wingu na katika bahari;