1 Corinthians 10:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika Karamu ya Bwana na katika meza ya pepo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hamwezi kunywa katika kikombe cha Bwana Isa na cha mashetani pia. Hamwezi kuwa na sehemu katika Chakula cha Bwana Isa na katika chakula cha mashetani pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hamwezi kukinywea kikombe cha Bwana na kisha mkakinywea kiombe kinachotukuza mashetani. Hamwezi kushiriki kula chakula na kunywa pamoja kwenye meza ya Bwana kisha mkaenda kushiriki kula chakula na kunywa pamoja kwenye meza inayotukuza mashetani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika meza ya Bwana na katika meza ya pepo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika Karamu ya Bwana na katika meza ya pepo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hamwezi kunywa katika kikombe cha Bwana na cha mashetani pia. Hamwezi kuwa na sehemu katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hamwezi kunywa katika kikombe cha Bwana Isa na cha mashetani pia. Hamwezi kuwa na sehemu katika chakula cha Bwana Isa na katika chakula cha mashetani pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika Karamu ya Bwana na katika meza ya pepo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hamwezi kukinywa kinyweo cha Bwana nacho kinyweo cha mizimu; hamwezi kula mezani pa Bwana na mezani pa mizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamuwezi kuchangia kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo. Vilevile hamuwezi kuchangia meza ya Bwana na meza ya pepo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hamwezi kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mashetani. Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani.