1 Corinthians 10:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Au je, tunataka kumfanya Bwana awe na wivu? Mnadhani tuna nguvu zaidi kuliko yeye?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, tunataka kuamsha wivu wa Mwenyezi Mungu? Je, sisi tuna nguvu kuliko yeye?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au twamtia Bwana wivu? Je! Tuna nguvu zaidi ya yeye?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kufanya hivyo kunamtia wivu Bwana. Je, mnafikiri tunaweza kujaribu kumfanya Bwana apate wivu? Mnadhani tuna nguvu kuliko yeye?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Au je, tunataka kumfanya Bwana awe na wivu? Mnadhani tuna nguvu zaidi kuliko yeye?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Au je, tunataka kumfanya Bwana awe na wivu? Mnadhani tuna nguvu zaidi kuliko yeye?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, tunataka kuamsha wivu wa Bwana? Je, sisi tuna nguvu kuliko yeye?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, tunataka kuamsha wivu wa Bwana Isa? Je, sisi tuna nguvu kuliko yeye?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au twamtia Bwana wivu? Je! Tuna nguvu zaidi ya yeye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Au je, tunataka kumfanya Bwana awe na wivu? Mnadhani tuna nguvu zaidi kuliko yeye?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au tumchokoze Bwana? Sisi tuko na nguvu kumshinda yeye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au twamtia Bwana wivu? Je! Tuna nguvu zaidi ya yeye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au tunataka kumuchokoza Bwana hata asikie wivu? Munafikiri kuwa sisi tuko na nguvu kuliko yeye?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Au twamtia Bwana wivu? au tuna nguvu zaidi ya yeye?