1 Corinthians 10:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Vitu vyote ni halali,” lakini si vitu vyote vilivyo na faida. “Vitu vyote ni halali,” lakini si vyote vinavyojenga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnasema “Vitu vyote vimeruhusiwa.” Lakini si vitu vyote vinafaa. “Vitu vyote vimeruhusiwa.” Lakini vitu vingine havisaidii katika kuliimarisha kanisa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Vitu vyote ni halali,” lakini si vitu vyote vilivyo na faida. “Vitu vyote ni halali,” lakini si vyote vinavyojenga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Vitu vyote ni halali,” lakini si vitu vyote vilivyo na faida. “Vitu vyote ni halali,” lakini si vyote vinavyojenga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna cho chote chenye mwiko, lakini sivyo vyote vifaavyo; hakuna cho chote chenye mwiko, lakini sivyo vyote vijengavyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamoja wenu wanasema: “Vitu vyote vinaruhusiwa.” Ni kweli, lakini vyote havifai. “Vitu vyote vinaruhusiwa,” lakini vyote havifai kwa kujenga imani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Vitu vyote ni halali kwangu; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali kwangu; hali si vitu vyote vijengavyo.