1 Corinthians 10:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuleni chochote kile kiuzwacho sokoni bila ya kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuleni chochote kinachouzwa sokoni, bila kuuliza swali lolote kwa ajili ya dhamiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuleni chakula chochote kinachouzwa sokoni. Msiulize maswali ili kutafuta kujua kama ni sahihi ama la kwako kukila.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kuleni chochote kile kiuzwacho sokoni bila ya kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuleni chochote kile kiuzwacho sokoni bila ya kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuleni cho chote kinachouzwa sokoni, bila kuuliza swali lo lote kwa ajili ya dhamiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuleni chochote kinachouzwa sokoni, bila kuuliza swali lolote kwa ajili ya dhamiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuulizauliza, kwa ajili ya dhamiri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuleni chochote kile kiuzwacho sokoni bila ya kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vyote vinavyouzwa sokoni vileni pasipo kuuliza vitokapo, mioyo isilemewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi ni huru kwa kula kila kitu kinachouzishwa katika soko bila kuulizauliza neno kwa sababu ya zamiri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Killa kitu kiuzwacho sokoni kulani, bila kuulizauliza, kwa ajili ya dhamiri;