1 Corinthians 10:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiwe kikwazo kwa Wayahudi au kwa Wagiriki au kwa kanisa la Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiwe kikwazo kwa mtu yeyote, wawe Wayahudi au Wayunani, au kwa kundi la waumini la Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiwakoseshe Wayahudi wala Wayunani wala kanisa la Mungu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kamwe usifanye jambo lolote litakalowafanya watu wengine kutenda mabaya, iwe ni Wayahudi, wasio Wayahudi au mtu yeyote katika kanisa la Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msiwe kikwazo kwa Wayahudi au kwa Wagiriki au kwa kanisa la Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiwe kikwazo kwa Wayahudi au kwa Wagiriki au kwa kanisa la Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiwe kikwazo kwa mtu ye yote, kwa Wayahudi au kwa Wayunani, au kwa Kanisa la Mungu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiwe kikwazo kwa mtu yeyote, wawe Wayahudi au Wayunani, au kwa kundi la waumini la Mungu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiwakoseshe Wayahudi wala Wagiriki wala kanisa la Mungu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiwe kikwazo kwa Wayahudi au kwa Wagiriki au kwa kanisa la Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiangalieni, msiwakwaze Wayuda wala Wagriki wala wateule wake Mungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiwakoseshe Wayahudi wala Wayunani wala kanisa la Mungu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi muangalie, kusudi musiwakwaze Wayuda, wala wasiokuwa Wayuda, wala kanisa la Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Msiwakoseshe Wayahudi wala Wayunaui wala Kanisa la Mungu: