1 Corinthians 10:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakanywa pia kinywaji kilekile cha kiroho, maana walikunywa kutoka ule mwamba wa kiroho uliowafuata; mwamba huo ulikuwa Kristo mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wote wakanywa kile kile kinywaji cha roho, kwa maana walikunywa kutoka ule mwamba wa roho uliofuatana nao, nao ule mwamba ulikuwa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na wote walikunywa kinywaji kinachotolewa na Roho wa Mungu. Kinywaji walichokunywa kilitoka katika mwamba wa roho uliokuwa pamoja nao, na mwamba huo ni Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakanywa pia kinywaji kilekile cha kiroho, maana walikunywa kutoka ule mwamba wa kiroho uliowafuata; mwamba huo ulikuwa Kristo mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakanywa pia kinywaji kilekile cha kiroho, maana walikunywa kutoka ule mwamba wa kiroho uliowafuata; mwamba huo ulikuwa Kristo mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wote wakanywa kile kinywaji cha roho, kwa maana walikunywa kutoka katika ule mwamba wa roho uliofuatana nao, nao ule mwamba ulikuwa Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wote wakanywa kile kile kinywaji cha roho, kwa maana walikunywa kutoka ule mwamba wa roho uliofuatana nao, nao ule mwamba ulikuwa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakanywa pia kinywaji kilekile cha kiroho, maana walikunywa kutoka ule mwamba wa kiroho uliowafuata; mwamba huo ulikuwa Kristo mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nacho kinywaji cha Kiroho, walichokinywa wote, ni kile kimoja. Maana walikunywa maji yaliyotoka katika mwamba wa Kiroho uliofuatana nao; nao mwamba huo ni Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote walikunywa kinywaji kimoja cha kiroho; kwa maana walikunywa maji yaliyotoka ndani ya lile jiwe lililosafiri pamoja nao, nalo jiwe lilikuwa Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho: kwa maana walikunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ni Kristo.