1 Corinthians 10:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, mambo hayo yote ni mfano tu kwetu; yanatuonya sisi tusitamani ubaya kama wao walivyotamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi mambo haya yalifanyika kama mifano ili kutuzuia tusiweke mioyo yetu katika mambo maovu kama wao walivyofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mambo haya yaliyotokea ni tahadhali kwa ajili yetu. Mifano hii itufanye tuache kutamani maovu kama baadhi yao walivyofanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa, mambo hayo yote ni mfano tu kwetu; yanatuonya sisi tusitamani ubaya kama wao walivyotamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, mambo hayo yote ni mfano tu kwetu; yanatuonya sisi tusitamani ubaya kama wao walivyotamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi mambo haya yalitokea kama mfano ili kutuonya tusiweke mioyo yetu katika mambo maovu kama wao walivyofanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi mambo haya yalitokea kama mifano ili kutuzuia tusiweke mioyo yetu katika mambo maovu kama wao walivyofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, mambo hayo yote ni mfano tu kwetu; yanatuonya sisi tusitamani ubaya kama wao walivyotamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yalifanyika, tujifunzie mumo humo, sisi tusitende tamaa ya maovu, kama wale walivyokuwa na tamaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo hayo ni mufano kwetu, kusudi tusikuwe na tamaa mbaya kama vile wao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Haya yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu ya kutamani mabaya, kama wale walivyotamani.