1 Corinthians 10:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiwe waabudu sanamu kama baadhi yao walivyokuwa; kama yasemavyo Maandiko: “Watu waliketi kula na kunywa, wakasimama kucheza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiwe waabudu sanamu, kama baadhi yao walivyokuwa, kama ilivyoandikwa, “Watu waliketi chini kula na kunywa, kisha wakainuka kucheza na kufanya sherehe za kipagani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msiwe waabudu sanamu, kama wengine wao walivyokuwa; kama ilivyoandikwa, Watu waliketi kula na kunywa, kisha wakasimama wacheze.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msiabudu sanamu kama ambavyo baadhi yao walifanya. Na kama Maandiko yanavyosema, “Waliketi chini kula na kunywa kisha wakasimama kucheza.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msiwe waabudu sanamu kama baadhi yao walivyokuwa; kama yasemavyo Maandiko: “Watu waliketi kula na kunywa, wakasimama kucheza.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiwe waabudu sanamu kama baadhi yao walivyokuwa; kama yasemavyo Maandiko: “Watu waliketi kula na kunywa, wakasimama kucheza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiwe waabudu sanamu, kama baadhi yao walivyokuwa, kama ilivyoandikwa, “Watu walikaa chini wakala na kunywa, kisha wakainuka kucheza na kufanya karamu za kipagani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiwe waabudu sanamu, kama baadhi yao walivyokuwa, kama ilivyoandikwa, “Watu waliketi chini kula na kunywa, kisha wakainuka kucheza na kufanya sherehe za kipagani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msiwe waabudu sanamu, kama wengine wao walivyokuwa; kama ilivyoandikwa, Watu waliketi kula na kunywa, kisha wakasimama wacheze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiwe waabudu sanamu kama baadhi yao walivyokuwa; kama yasemavyo Maandiko: “Watu waliketi kula na kunywa, wakasimama kucheza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala msitambikie kinyago kama wengine wao! Kama ilivyoandikwa: Watu walikalia kula na kunywa, kisha wakainukia kucheza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msiwe waabudu sanamu, kama wengine wao walivyokuwa; kama ilivyoandikwa, Watu waliketi kula na kunywa, kisha wakasimama wacheze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi musikuwe wenye kuabudu sanamu kama wamoja kati yao walivyokuwa; kama vile Maandiko haya Matakatifu yanavyosema: “Watu wakaikaa kula na kunywa na kisha wakasimama kwa kujifurahisha.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala msiwe waabudu sanamu, kama wengine wao; kama ilivyoandikwa, Watu waliketi kula na kunywa, wakasimama wacheze.