1 Corinthians 10:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu 23,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala tusifanye uzinzi kama baadhi yao walivyofanya, wakafa watu elfu ishirini na tatu kwa siku moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka siku moja watu ishirini na tatu elfu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tusifanye dhambi ya uzinzi kama baadhi yao walivyofanya na watu ishirini na tatu elfu miongoni mwao wakafa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu ishirini na tatu elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu 23,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala tusifanye uzinzi kama baadhi yao walivyofanya, wakafa watu 23,000 kwa siku moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala tusifanye uzinzi kama baadhi yao walivyofanya, wakafa watu 23,000 kwa siku moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka siku moja watu elfu ishirini na tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu 23,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena tusifanye ugoni, kama wengine wao walivyoufanya, wakauawa siku moja watu 23000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka siku moja watu ishirini na tatu elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifanye uasherati kama vile wamoja kati yao walivyofanya hata wakakufa kwa siku moja watu elfu makumi mbili na tatu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala tusifanye uasharati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka muda wa siku moja watu ishirini na tatu elfu.