1 Corinthians 10:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala tusimjaribu Al-Masihi, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tusimjaribu Kristo kama vile baadhi yao walivyofanya. Kwa sababu hiyo, waliuawa na nyoka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala tusimjaribu Bwana, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala tusimjaribu Al-Masihi, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaangamizwa na nyoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile tusimupime Bwana kama vile wamoja wao walivyofanya, hata wakauawa na nyoka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala tusimjaribii Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.