1 Corinthians 11:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini kwa mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake ndefu amepewa ili zimfunike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni utukufu kwake? Kwa maana mwanamke amepewa nywele ndefu ili kumfunika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kuwa na nywele ndefu ni heshima kwa mwanamke. Mwanamke amepewa nywele ndefu ili kufunika kichwa chake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
lakini kwa mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake ndefu amepewa ili zimfunike.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini kwa mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake ndefu amepewa ili zimfunike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni utukufu kwake. Kwa maana mwanamke amepewa nywele ndefu ili kumfunika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni utukufu kwake? Kwa maana mwanamke amepewa nywele ndefu ili kumfunika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini kwa mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake ndefu amepewa ili zimfunike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mke akiwa na nywele ndefu, ni pambo lake zuri. Maana amepewa nywele ndefu, ziwe mavazi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini ni heshima kwa mwanamuke kuwa na nywele ndefu. Kwa maana nywele ndefu zimetolewa kwa mwanamuke kwa kuwa nguo ya kufunika kichwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni ntukufu kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu illi ziwe badala ya mavazi.