1 Corinthians 11:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkutanikapo pamoja si Chakula cha Bwana Isa mnachokula,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkutanikapo pamoja haiwezekani kula chakula cha Bwana;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnapokusanyika, hakika hamli chakula cha Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula chakula cha Bwana!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkutanikapo pamoja si chakula cha Bwana mnachokula,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkutanikapo pamoja si chakula cha Bwana Isa mnachokula,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mnapokutanika pamoja haiwezekani kula chakula cha Bwana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mnapokutania pamoja, siko kukila Chakula cha Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkutanikapo pamoja haiwezekani kula chakula cha Bwana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munapokusanyika hamukuli karamu ya Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi mkutanikapo pamoja haiwezekani kula chakula cha Bwana;