1 Corinthians 11:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana kila mnapokula mkate huu na kukinywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maana kila mlapo mkate huu na kunywea kikombe hiki, mnatangaza mauti ya Bwana Isa hadi ajapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hii inamaanisha kuwa kila mnapokula mkate huu na kunywa kikombe hiki, mnawaambia wengine kuhusu kifo cha Bwana mpaka atakaporudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana kila mnapokula mkate huu na kunywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana kila mnapokula mkate huu na kukinywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maana kila mlapo mkate huu na kunywea kikombe hiki, mnatangaza mauti ya Bwana mpaka ajapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maana kila mlapo mkate huu na kunywea kikombe hiki, mnatangaza mauti ya Bwana Isa mpaka ajapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana kila mnapokula mkate huu na kukinywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kila mnapoula mkate huu, mkakinywea nacho kinyweo hiki, kutangazeni kufa kwake Bwana, mpaka atakapokuja!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu kila mara munapokula mukate huu na kunywa kikombe hiki, munatangaza kufa kwa Bwana mpaka atakapokuja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana killa mwulapo mkate huu na kunywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hatta ajapo.