1 Corinthians 11:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, ndugu zangu, mnapokutana kula Karamu ya Bwana, kila mmoja amngoje mwenzake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo pamoja ili kula, mngojane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo mpate kula, mngojaneni;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo ndugu zangu, mnapokusanyika pamoja ili mle, subirianeni na mkaribishane kwa moyo wa upendo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo, ndugu zangu, mnapokutana kula chakula cha Bwana, kila mmoja amngoje mwenzake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, ndugu zangu, mnapokutana kula Karamu ya Bwana, kila mmoja amngoje mwenzake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo pamoja ili kula, mngojane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo pamoja ili kula, mngojane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo, ndugu zangu, mnapokutanika mpate kula, ngojaneni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, ndugu zangu, mnapokutana kula Karamu ya Bwana, kila mmoja amngoje mwenzake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo, ndugu zangu, mnapokutania kula, sharti mngojane!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo mpate kula, mngojaneni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo wandugu zangu, wakati munapokusanyika kwa kula karamu ya Bwana, sherti mungojeane.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, ndugu zangu, mkutanikapo mpate kula, mngojane;