1 Corinthians 12:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu, kuhusu vipaji vya kiroho, napenda mfahamu vizuri mambo haya:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi ndugu zangu, kuhusu karama za rohoni, sitaki mkose kufahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, ndugu zangu, kwa habari ya karama za roho, sitaki mkose kufahamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na sasa ninataka mwelewe kuhusu karama za Roho Mtakatifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu, kuhusu vipaji vya kiroho, napenda mfahamu vizuri mambo haya:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu, kuhusu vipaji vya kiroho, napenda mfahamu vizuri mambo haya:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi ndugu zangu, kuhusu karama za rohoni, sitaki mkose kufahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi ndugu zangu, kuhusu karama za rohoni, sitaki mkose kufahamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, ndugu zangu, kuhusu karama za roho, sitaki mkose kufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu, kuhusu vipaji vya kiroho, napenda mfahamu vizuri mambo haya:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Lakini ndugu, sitaki, ninyi mkose kuyajua mambo ya Kiroho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, ndugu zangu, kwa habari ya karama za roho, sitaki mkose kufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa tuangalie mambo yanayoelekea zawadi za Roho Mutakatifu. Wandugu zangu, sitaki mukose kufahamu ukweli wa zawadi hizi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
KWA khabari za karama za roho, ndugu, sitaki mkose kufahamu.