1 Corinthians 12:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi mwili si kiungo kimoja, bali ni viungo vingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na mwili wa mtu una viungo zaidi ya kimoja. Una viungo vingi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi mwili si kiungo kimoja, bali ni viungo vingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi mwili si kiungo kimoja, bali ni viungo vingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nao mwili sio kiungo kimoja, ila vingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwili hauundwi na kiungo kimoja tu, lakini na viungo vingi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana mwili hauwi kiungo kimoja, bali vingi.