1 Corinthians 12:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mwili wote ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mwili wote ungakuwa jicho tu, kusikia kungekuwa wapi? Au kama mwili wote ungekuwa sikio, kunusa kungekuwa wapi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mwili wote ukiwa jicho, ku wapi kusikia? Kama wote ni sikio ku wapi kunusa?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa mwili wote ungekuwa jicho, usingeweza kusikia. Ikiwa mwili wote ungekuwa sikio, usingeweza kunusa kitu chochote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama mwili wote ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mwili wote ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mwili wote ungelikuwa jicho, kusikia kungekuwa wapi? Au kama mwili wote ungelikuwa sikio, kunusa kungekuwa wapi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mwili wote ungelikuwa jicho, kusikia kungekuwa wapi? Au kama mwili wote ungelikuwa sikio, kunusa kungekuwa wapi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mwili wote ukiwa jicho, kuko wapi kusikia? Kama wote ni sikio kuko wapi kunusa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mwili wote ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwili wote kama ungekuwa jicho, tungesikiaje? Kama wote ungekuwa sikio, tungenusaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mwili wote ukiwa jicho, ku wapi kusikia? Kama wote ni sikio ku wapi kunusa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mwili wote ungekuwa jicho, namna gani ungeweza kusikia? Na kama ungekuwa sikio, namna gani ungeweza kunusa?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama mwili wote ukiwa jicho, ku wapi kusikia? kama wote ni sikio ku wapi kuona?