1 Corinthians 12:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama ilivyo, Mungu ameweka viungo katika mwili, kila kimoja kama alivyopenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Mungu amevitia viungo kila kimoja katika mwili kama alivyotaka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa viungo vyote vya mwili vingekuwa kiungo kimoja, mwili usingekuwepo. Kama jinsi ilivyo, Mungu aliweka viungo katika mwili kama alivyotaka. Alikipa kila kiungo sehemu yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama ilivyo, Mungu ameweka viungo katika mwili, kila kimoja kama alivyopenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama ilivyo, Mungu ameweka viungo katika mwili, kila kimoja kama alivyopenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Mungu amevitia viungo kila kimoja katika mwili kama alivyotaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mungu ameviweka viungo mwilini kila kimoja hapo, alipokitaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Mungu amevitia viungo kila kimoja katika mwili kama alivyotaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa, Mungu amepanga viungo vya mwili kila kimoja kama ilivyomupendeza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali Mungu amevitia viungo killa kimoja katika mwili kama alivyotaka.