1 Corinthians 12:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnajua kwamba mlipokuwa watu wasiomjua Mungu, kwa njia moja au nyingine mlishawishika na kupotoshwa mkielekezwa kwa sanamu zisizonena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwajua ya kuwa mlipokuwa watu wa Mataifa, mlichukuliwa kufuata sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnayakumbuka maisha mliyoishi kabla hamjawa waamini. Mlipotoshwa na kuongozwa kuziabudu sanamu, ambazo hata kuzungumza haziwezi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnajua kwamba mlipokuwa hamumjui Mungu, mlishawishika na kupotoshwa na sanamu zisizonena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnajua kwamba mlipokuwa watu wasiomjua Mwenyezi Mungu, kwa njia moja au ingine mlishawishika na kupotoshwa mkielekezwa kwa sanamu zisizonena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwajua ya kuwa mlipokuwa watu wa Mataifa, mlichukuliwa kufuata sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mnajua: Mlikuwa wamizimu, napo po pote, mlipoongozwa, mlipenda kuyafuata matambiko ya vinyago visivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwajua ya kuwa mlipokuwa watu wa Mataifa, mlichukuliwa kufuata sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munajua kwamba wakati mulipokuwa wapagani, mulikuwa mukivutwa na kupotoshwa na sanamu zisizosema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mwajua ya kuwa mlipokuwa Mataifa mlichukuliwa kwa sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa.