1 Corinthians 12:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili kusiweko na utengano katika mwili, bali viungo vyote vishughulikiane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili pasiwe na mafarakano katika mwili, bali viungo vyote vihudumiane kwa usawa kila kimoja na mwenzake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kusiwe na faraka katika mwili, bali viungo vitunzane kila kiungo na mwenziwe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu alifanya hivi ili mwili wetu usigawanyike. Mungu alitaka viungo vyote tofauti vitunzane kwa usawa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ili kusiweko na utengano katika mwili bali viungo vyote vishughulikiane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili kusiweko na utengano katika mwili, bali viungo vyote vishughulikiane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili pasiwe na mafarakano katika mwili, bali viungo vyote vihudumiane kwa usawa kila kimoja na mwenzake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili pasiwe na mafarakano katika mwili, bali viungo vyote vihudumiane kwa usawa kila kimoja na mwenzake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kusiwe na mgawanyiko katika mwili, bali viungo vitunzane kila kiungo na mwenziwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili kusiweko na utengano katika mwili, bali viungo vyote vishughulikiane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana mwilini msiwe na migawanyiko, ila viungo vipatane kutunzana kila kiungo na mwenziwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kusiwe na faraka katika mwili, bali viungo vitunzane kila kiungo na mwenziwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi kusikuwe mabishano katikati ya viungo vya mwili, lakini vyote visaidiane sawasawa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi kusiwe fitina katika mwili, hali viungo vitunzane.