1 Corinthians 12:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nyinyi nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa ninyi ni mwili wa Al-Masihi na kila mmoja wenu ni sehemu ya huo mwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi nyote kwa pamoja ni mwili wa Kristo. Kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, ninyi nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nyinyi nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa ninyi ni mwili wa Kristo na kila mmoja wenu ni kiungo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa ninyi ni mwili wa Al-Masihi na kila mmoja wenu ni sehemu ya huo mwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na kila mmoja wenu akiwa kiungo cha mwili huo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nyinyi nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi m mwili wake Kristo, tena m viungo kila mmoja mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi wote ni mwili wa Kristo, na kila mumoja wenu ni kiungo cha mwili ule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ninyi m mwili wa Kristo, na viungo vya mwili huo, mmoja hiki na mmoja hiki.