1 Corinthians 12:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote ni wenye kipaji cha kufanya miujiza?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wote ni mitume? Je, wote ni manabii? Je, wote ni walimu? Je, wote wanatenda miujiza?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanatenda miujiza?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, wote ni mitume? Je, wote ni manabii? Je, wote ni walimu? Je, wote hufanya miujiza?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni walimu? Wote ni wenye kipaji cha kufanya miujiza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote ni wenye kipaji cha kufanya miujiza?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wote ni mitume? Je, wote ni manabii? Je, wote ni walimu? Je, wote wanafanya miujiza?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wote ni mitume? Je, wote ni manabii? Je, wote ni walimu? Je, wote wanatenda miujiza?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanatenda miujiza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote ni wenye kipaji cha kufanya miujiza?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote ni mitume? Wote ni wafumbuaji? Wote ni wafunzi? Wote ni wenye nguvu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanatenda miujiza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote si mitume, manabii au walimu. Wote hawana uwezo wa kufanya miujiza,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! wote ni mitume? wote ni manabii? wote ni waalimu? wote wanatenda miujiza?