1 Corinthians 12:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. Nami sasa nitawaonesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi tamanini sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonesha njia iliyo bora zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Takeni sana karama zilizo kuu. Hata hivyo nawaonyesha njia iliyo bora.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Endeleeni kuwa na ari ya kuwa na karama za Roho mnazoona kuwa ni kuu zaidi. Lakini sasa ninataka kuwaonesha njia iliyo kuu zaidi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. Nami sasa nitawaonyesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. Nami sasa nitawaonesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi tamanini sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonyesha njia iliyo bora zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi tamanini sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonyesha njia iliyo bora zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jitahidini sana kupata karama zilizo kuu. Na nitawaonyesheni njia iliyo bora zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. Nami sasa nitawaonesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jikazeni, mpate magawio yapitayo hayo! Nami nitawaonyesha njia iliyo nzuri kuzipita zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Takeni sana karama zilizo kuu. Hata hivyo nawaonyesha njia iliyo bora.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi mutamani sana zawadi inayokuwa bora zaidi. Lakini sasa, nitawaonyesha njia nzuri sana kuliko zote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na tena nawaonyesha njia iliyo bora sana.