1 Corinthians 12:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana Isa ni yule yule.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuna namna mbalimbali za kutumika, lakini sote tunatumika kwa niaba ya Bwana yule yule.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni yule yule.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana Isa ni yule yule.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kuna huduma tofauti, na Bwana ni yeye yule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena yako mapitano ya utumishi, lakini Bwana ni yule mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna utumishi wa namna mbalimbali, lakini ni Bwana mumoja ndiye wanayemutumikia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pana tofauti za khuduma, na Bwana vule yule;