1 Corinthians 12:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na kuna namna ambazo Mungu hufanya kazi ndani yetu sote, lakini ni Mungu yule yule anayetenda kazi ndani yetu ili tutende kila kitu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mwenyezi Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha kuna uwezo tofauti wa kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena yako mapitano ya nguvu, lakini Mungu anayevitia vyote nguvu kwa watu wote ni yule mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna kazi za namna mbalimbali, lakini Mungu ni mumoja anayewezesha watu wote kuzitimiza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu yule yule azitendae kazi zote katika wote.