1 Corinthians 12:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho wa Mungu kwa faida ya wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kitu fulani kutoka kwa Roho kinaweza kuonekana ndani ya kila mtu. Roho humpa kila mtu hili ili awasaidie wengine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kila mtu hufunuliwa kipaji chake cha Roho, kwa kwamba wote wakionee upato.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa kila mutu Roho anajifunua kwa faida ya wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini killa mmoja hupewa ufunuo wa Roho illi kufaidia.