1 Corinthians 13:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu vitatoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ukamilifu ukija, yale yasiyo kamili hutoweka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ukamilifu utakapokuja, mambo ambayo hayajakamilika yatakoma.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu vitatoweka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu vitatoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ukamilifu utakapokuja, yale yasiyo kamili yatatoweka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ukamilifu ukija, yale yasiyo kamili hutoweka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu vitatoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini matimilifu yatakapokuja, yale ya kifungufungu yatakoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakati mambo matimilifu yatakapokuja, yale yasiokuwa matimilifu yatatoweka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini ijapo iliyo kamili, iliyo kwa, sehemu itabatilika.