1 Corinthians 14:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zipo lugha mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bila shaka ziko sauti nyingi ulimwenguni, wala hakuna isiyo na maana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yamkini ziko sauti za namna nyingi duniani, wala hakuna moja isiyo na maana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni dhahiri kuwa kuna lugha nyingi ulimwenguni, na zote zina maana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zipo lugha mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zipo lugha mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bila shaka ziko sauti nyingi ulimwenguni, wala hakuna isiyo na maana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bila shaka ziko sauti nyingi ulimwenguni, wala hakuna isiyo na maana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika ziko sauti za namna nyingi duniani, wala hakuna moja isiyo na maana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zipo lugha mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Misemo humu ulimwenguni ni mingi mno, lakini hakuna hata mmoja usiotambulika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yamkini ziko sauti za namna nyingi duniani, wala hakuna moja isiyo na maana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna namna mbalimbali za luga katika dunia, lakini hakuna hata moja isiyokuwa na maana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yumkini ziko sauti za namna nyingi duniani, wala hapana moja isiyo na maana.