1 Corinthians 14:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namshukuru Mungu kwamba mimi nasema kwa lugha ngeni kuliko nyinyi nyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Namshukuru Mungu kwamba mimi nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Namshukuru Mungu ya kuwa nanena kwa lugha zaidi ya ninyi nyote;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninamshukuru Mungu kwamba nimepewa karama ya kusema lugha aina nyingi mbalimbali kuliko yeyote kati yenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Namshukuru Mungu kwamba mimi nasema kwa lugha ngeni zaidi kuliko ninyi nyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namshukuru Mungu kwamba mimi nasema kwa lugha ngeni kuliko nyinyi nyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Namshukuru Mungu kwamba mimi nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Namshukuru Mungu kwamba mimi nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Namshukuru Mungu ya kuwa nanena kwa lugha zaidi ya ninyi nyote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namshukuru Mungu kwamba mimi nasema kwa lugha ngeni kuliko nyinyi nyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namtukuza Mungu, ya kuwa naisema ile misemo migeni kuwapita ninyi nyote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Namshukuru Mungu ya kuwa nanena kwa lugha zaidi ya ninyi nyote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndiyo, ninamushukuru Mungu kwamba ninasema kwa luga za ajabu kuliko ninyi wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Namshukuru Mungu wangu, nanena kwa lugha zaidi ya ninyi nyote;