1 Corinthians 14:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakiwapo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu yeyote akinena kwa lugha, basi waseme watu wawili au watatu, si zaidi, mmoja baada ya mwingine, na lazima awepo mtu wa kutafsiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnapokusanyika, ikiwa kuna yeyote atasema na kanisa katika lugha, iwe watu wawili tu au isiwe zaidi ya watu watatu. Na wanapaswa wanene kwa zamu, mmoja baada ya mwingine. Na mwingine afasiri kile wanachosema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakiwepo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakiwapo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu ye yote akinena kwa lugha, basi waseme watu wawili au watatu si zaidi, mmoja baada ya mwingine na lazima awepo mtu wa kutafsiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu yeyote akinena kwa lugha, basi waseme watu wawili au watatu, si zaidi, mmoja baada ya mwingine, na lazima awepo mtu wa kutafsiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakiwapo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akisema misemo migeni, basi, wawe kama wawili au watatu tu, wasipite hapo, nao waseme mmoja mmoja, kisha mmoja aifumbue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kukiwa wenye kusema kwa luga za ajabu, inafaa wasikuwe zaidi ya wawili au watatu, nao waseme mumoja kwa mumoja. Na tena kunapaswa kuwa mutu wa kutafsiri maneno wanayosema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja afasiri.