1 Corinthians 14:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhusu wale wenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, waseme wawili au watatu, na wengine wayapime maneno yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Manabii wawili au watatu wanene, na wengine wapime kwa makini yale yasemwayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na manabii wanene wawili, au watatu, na wengine wapambanue.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na manabii wawili au watatu tu ndiyo wanapaswa kuzungumza. Wengine watathmini kile wanachosema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kuhusu wale wenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, waseme wawili au watatu, na wengine wayapime maneno yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhusu wale wenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, waseme wawili au watatu, na wengine wayapime maneno yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Manabii wawili au watatu wanene na wengine wapime yale yasemwayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Manabii wawili au watatu wanene na wengine wapime yale yasemwayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na manabii wanene wawili, au watatu, na wengine wapambanue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhusu wale wenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, waseme wawili au watatu, na wengine wayapime maneno yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wafumbuaji waseme wawili au watatu, nao wengine wasikilize tu, wayatambue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na manabii wanene wawili, au watatu, na wengine wapambanue.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa upande wa wale wanaotabiri, wanaweza kusema wawili au watatu na watu wengine wapime yale wanayosema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na manabii wanene wawili, au watatu, na wengine wapamhanue.