1 Corinthians 14:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, husema na watu kwa ajili ya kuwajenga, kuwafariji na kuwatia moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini anayetoa unabii anasema na watu akiwajenga, kuwatia moyo na kuwafariji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali yeye ahutubuye, asema na watu maneno ya kuwajenga, na kuwafariji, na kuwatia moyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wanaotabiri huzungumza na watu. Huwasaidia watu kuwa imara katika imani, na huwatia moyo na kuwafariji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, husema na watu kwa ajili ya kuwajenga, kuwafariji na kuwatia moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, husema na watu kwa ajili ya kuwajenga, kuwafariji na kuwatia moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini anayetoa unabii anasema na watu akiwajenga, kuwatia moyo na kuwafariji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini anayetoa unabii anasema na watu akiwajenga, kuwatia moyo na kuwafariji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali yeye ahutubuye, asema na watu maneno ya kuwajenga, na kuwafariji, na kuwatia moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, husema na watu kwa ajili ya kuwajenga, kuwafariji na kuwatia moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwenye kufumbua husema na watu akiwajenga na kuwaonya na kuwatuliza mioyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali yeye ahutubuye, asema na watu maneno ya kuwajenga, na kuwafariji, na kuwatia moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule anayetabiri anasema na watu maneno ya kuwajenga katika imani, kuwatia moyo na kuwatuliza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali yeye akhutubuye, anena na watu maneno ya kuwajenga, na kuwafariji, na kuwatia moyo.