1 Corinthians 14:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa mmoja anaposema na mwingine wa wasikilizaji amepata ufunuo kutoka kwa Mungu, basi, yule anayesema anyamaze.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu yeyote aliyeketi karibu, akipata ufunuo, basi yule wa kwanza na anyamaze.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mwingine aliyeketi akifunuliwa neno, yule wa kwanza na anyamaze.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ujumbe kutoka kwa Mungu ukimjia mtu aliyekaa, mzungumzaji wa kwanza anapaswa kunyamaza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ikiwa mmoja anaposema mwingine wa wasikilizaji amepata ufunuo kutoka kwa Mungu, basi, yule anayesema anyamaze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa mmoja anaposema na mwingine wa wasikilizaji amepata ufunuo kutoka kwa Mungu, basi, yule anayesema anyamaze.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu ye yote aliyeketi karibu, akipata ufunuo, basi yule wa kwanza na anyamaze.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu yeyote aliyeketi karibu, akipata ufunuo, basi yule wa kwanza na anyamaze.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mwingine aliyeketi akifunuliwa neno, yule wa kwanza na anyamaze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa mmoja anaposema na mwingine wa wasikilizaji amepata ufunuo kutoka kwa Mungu, basi, yule anayesema anyamaze.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama mwingine anayekaa anafunuliwa neno, wa kwanza na anyamaze.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mwingine aliyeketi akifunuliwa neno, yule wa kwanza na anyamaze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kukiwa mutu anayesema, na mwingine anayekaa karibu akipata ufunuo, inafaa yule anayesema anyamaze.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini mwingine aliyeketi, akifunuliwa neno, yule wa kwanza na anyamaze.