1 Corinthians 14:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mungu si Mungu wa fujo, ila wa amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko bali ni Mungu wa amani. Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya watakatifu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu si Mungu wa machafuko lakini ni Mungu wa amani. Hii ni kanuni kwa ajili ya mikutano yote ya watu wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Mungu si Mungu wa fujo, ila wa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mungu si Mungu wa fujo, ila wa amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko bali ni Mungu wa amani. Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya watakatifu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Mwenyezi Mungu si Mungu wa machafuko bali ni Mungu wa amani. Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya watakatifu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mungu si Mungu wa fujo, ila wa amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Mungu si Mungu wa uvurugo, ila ni Mungu wa utulivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana Mungu hataki sisi tuishi katika fujo, lakini katika amani. Sawa vile inavyokuwa desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.