1 Corinthians 14:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mnadhani neno la Mungu limetoka kwenu nyinyi au kwamba limewajieni nyinyi peke yenu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, neno la Mungu lilianzia kwenu? Au ni ninyi tu ambao neno la Mungu limewafikia?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, ni kutoka kwenu neno la Mungu lilikuja ama lilikuja kwa ajili yenu pekee?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, mnadhani neno la Mungu limetoka kwenu ninyi au kwamba limewajieni ninyi peke yenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mnadhani neno la Mungu limetoka kwenu nyinyi au kwamba limewajieni nyinyi peke yenu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, neno la Mungu lilianzia kwenu? Au ni ninyi tu ambao neno la Mungu limewafikia?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, neno la Mwenyezi Mungu lilianzia kwenu? Au ni ninyi tu ambao neno la Mungu limewafikia?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mnadhani neno la Mungu limetoka kwenu nyinyi au kwamba limewajieni nyinyi peke yenu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au je? Neno la Mungu limetoka kwenu, au limewafikia ninyi peke yenu tu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munazani kwamba Neno la Mungu limetoka kwenu au limewafikia ninyi peke yenu tu?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! neno la Mungu limetoka kwenu tu? au limewafikia ninyi peke yenu?