1 Corinthians 14:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye kunena lugha ngeni anajijenga mwenyewe. Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, analijenga kanisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anenaye kwa lugha hujijenga mwenyewe, bali atoaye unabii huwajenga waumini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye anenaye kwa lugha hujijenga nafsi yake; bali ahutubuye hulijenga kanisa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanaosema kwa lugha hujiimarisha wao wenyewe. Lakini wanaotabiri huliimarisha kanisa lote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwenye kunena lugha ngeni anajijenga mwenyewe. Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, analijenga kanisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye kunena lugha ngeni anajijenga mwenyewe. Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, analijenga kanisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anenaye kwa lugha hujijenga mwenyewe, bali atoaye unabii hulijenga kanisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anenaye kwa lugha hujijenga mwenyewe, bali atoaye unabii hulijenga kundi la waumini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye anenaye kwa lugha hujijenga nafsi yake; bali atoaye unabii hulijenga kanisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye kunena lugha ngeni anajijenga mwenyewe. Lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, analijenga kanisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye misemo migeni hujijenga mwenyewe tu; lakini mwenye kufumbua huwajenga wateule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye anenaye kwa lugha hujijenga nafsi yake; bali ahutubuye hulijenga kanisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule anayesema kwa luga ya ajabu anajenga imani yake mwenyewe, lakini yule anayetabiri anajenga imani ya kanisa zima.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Anenae kwa lugha hujijenga nafsi yake; bali akhutubuye hulijenga Kanisa.