1 Corinthians 14:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kila kitu kitendeke kwa ufasaha na kwa utaratibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kila kitu kifanywe kwa usahihi na kwa utaratibu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kila kitu kitendeke kwa heshima na kwa utaratibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kila kitu kitendeke kwa heshima na kwa utaratibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini myafanye yote, kama ipasavyo, yaendelee vizuri!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini maneno yote yatendeke katika usawa na katika utaratibu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mambo yote yatendeke kwa uzuri na kwa utaratihu.