1 Corinthians 14:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La mgambo likilia bila kufuata taratibu zake, nani atajiweka tayari kwa vita?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena kama tarumbeta haitoi sauti inayoeleweka, ni nani atakayejiandaa kwa ajili ya vita?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana baragumu ikitoa sauti isiyojulikana, ni nani atakayejifanya tayari kwa vita?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na katika vita, ikiwa tarumbeta haitatoa ishara vizuri, askari hawawezi kujua kuwa ni wakati wa kujiandaa kwa mapigano.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
La mgambo likilia bila kufuata taratibu zake, nani atajiweka tayari kwa vita?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La mgambo likilia bila kufuata taratibu zake, nani atajiweka tayari kwa vita?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena kama tarumbeta haitoi sauti inayoeleweka, ni nani atakayejiandaa kwa ajili ya vita?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena kama tarumbeta haitoi sauti inayoeleweka, ni nani atakayejiandaa kwa ajili ya vita?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana baragumu ikitoa sauti isiyojulikana, ni nani atakayejitayarisha kwa vita?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La mgambo likilia bila kufuata taratibu zake, nani atajiweka tayari kwa vita?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ngoma isipolia na kusikilika, yuko nani atakayejitengeneza kwenda penye kondo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana baragumu ikitoa sauti isiyojulikana, ni nani atakayejifanya tayari kwa vita?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngunga isipopigwa kwa mulio wa kuarifu, askari gani atakayeweza kujitayarisha kwa vita?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana baragumu ikitoa sauti isiyojulikana, nani atakaejifanya tayari kwa vita?