1 Corinthians 15:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, Kristo naye hakufufuka;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama hakuna ufufuo wa wafu, basi hata Al-Masihi hakufufuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo naye hakufufuka;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa hakuna atakayefufuliwa kutoka kwa wafu, basi Kristo hakufufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, Kristo naye hakufufuka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, Kristo naye hakufufuka;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama hakuna ufufuo wa wafu, basi hata Kristo hakufufuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama hakuna ufufuo wa wafu, basi hata Al-Masihi hakufufuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo naye hakufufuka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, Kristo naye hakufufuka;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama hakuna ufufuko wa wafu, hata Kristo hakufufuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo naye hakufufuka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi ikiwa kweli wafu hawatafufuka, Kristo vilevile hakufufuka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo nae hakufufuliwa: