1 Corinthians 15:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kama Kristo hakufufuka, basi mahubiri yetu hayana maana na imani yenu haina maana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena ikiwa Al-Masihi hakufufuliwa kutoka kwa wafu, kuhubiri kwetu kumekuwa ni bure na imani yenu ni batili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ikiwa Kristo hakufufuliwa, ujumbe tunaowahubiri ni bure. Na imani yenu ni bure.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kama Kristo hakufufuka, basi mahubiri yetu hayana maana na imani yenu haina maana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kama Kristo hakufufuka, basi mahubiri yetu hayana maana na imani yenu haina maana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena ikiwa Kristo hakufufuka kutoka kwa wafu, kuhubiri kwetu kumekuwa ni bure na imani yenu ni batili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena ikiwa Al-Masihi hakufufuliwa kutoka kwa wafu, kuhubiri kwetu kumekuwa ni bure na imani yenu ni batili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kama Kristo hakufufuka, basi mahubiri yetu hayana maana na imani yenu haina maana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama Kristo hakufufuka, matangazo yetu ni ya bure, nako kumtegemea kwenu ni kwa bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama Kristo hakufufuka, mahubiri yetu ni ya bure na kuamini kwenu ni kwa bure vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
tena kama Kristo hakufufuliwa, bassi, kukhubiri kwetu ni burre na imani yenu ni burre.