1 Corinthians 15:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na Kristo wamepotea kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi, wote waliolala katika Al-Masihi wamepotea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na watu wa Kristo waliokwisha kufa wamepotea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na Kristo wamepotea kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na Kristo wamepotea kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo basi, wote waliolala katika Al-Masihi wamepotea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na Kristo wamepotea kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, nao waliolala katika Kristo wangekuwa wamepotea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na zaidi ya hii, wale waliokufa wakiamini Kristo wamepotea kabisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.