1 Corinthians 15:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama matumaini yetu katika Kristo yanahusu tu maisha haya ya sasa, basi, sisi ni watu wa kusikitikiwa zaidi kuliko wengine wote duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa tumaini letu ndani ya Al-Masihi ni kwa ajili ya maisha haya tu, sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa tumaini letu katika Kristo ni kwa ajili tu ya maisha haya hapa duniani, basi watu watuhurumie sisi kuliko mtu mwingine yeyote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama matumaini yetu katika Kristo yanahusu tu maisha haya ya sasa, basi, sisi ni watu wa kusikitikiwa zaidi kuliko wengine wote duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama matumaini yetu katika Kristo yanahusu tu maisha haya ya sasa, basi, sisi ni watu wa kusikitikiwa zaidi kuliko wengine wote duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa tumaini letu ndani ya Kristo ni kwa ajili ya maisha haya tu, sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wengine wote duniani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa tumaini letu ndani ya Al-Masihi ni kwa ajili ya maisha haya tu, sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama matumaini yetu katika Kristo yanahusu tu maisha haya ya sasa, basi, sisi ni watu wa kusikitikiwa zaidi kuliko wengine wote duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikiwa hivyo, nasi katika maisha yetu ya huku nchini, kama kingojeao chetu ni Kristo tu, tungekuwa wakiwa kuliko watu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa tunamutumainia Kristo juu ya maisha haya ya sasa tu, sisi ni wamasikini kuliko watu wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama katika maisha haya tu tumemtumainia Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.