1 Corinthians 15:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, wa kwanza wa wale waliolala katika kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kweli Al-Masihi amefufuliwa kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini hakika Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu; ndiye wa kwanza miongoni mwa wafu wote watakaofufuliwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka wafu, limbuko lao wale waliolala katika kifo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, wa kwanza wa wale waliolala katika kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kweli Kristo amefufuka kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kweli Al-Masihi amefufuliwa kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, wa kwanza wa wale waliolala katika kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa Kristo amekwisha fufuka katika wafu, ni limbuko lao waliolala.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, kwa hakika Kristo amefufuka na hii inahakikisha kwamba wale waliokufa watafufuliwa vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini sasa Kristo amefufuka, limbuko lao waliolala.