1 Corinthians 15:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na Adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kama vile katika Adamu watu wote wanakufa, vivyo hivyo katika Al-Masihi wote watafanywa hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo, kwa sababu sisi sote ni wa Adamu, sisi sote tunakufa. Kwa njia hiyo hiyo, sisi sote tulio wa Kristo, tutakuwa hai tena.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na Adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na Adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kama vile katika Adamu watu wote wanakufa, vivyo hivyo katika Kristo wote watafanywa hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kama vile katika Adamu watu wote wanakufa, vivyo hivyo katika Al-Masihi wote watafanywa hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na Adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kama wanavyokufa wote kwa kuwa wana wa Adamu, vivyo hivyo wote watarudishwa uzimani kwa kuwa wake Kristo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile watu wote wanavyokufa kwa sababu ya kuungana kwao na Adamu, vilevile wote wataishi tena kwa sababu ya kuungana kwao na Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.