1 Corinthians 15:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kila mmoja kwa mpango wake: Kristo kwanza; halafu wale walio wake Kristo wakati Kristo atakapokuja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kila mmoja kwa wakati wake: Al-Masihi, tunda la kwanza kisha, wale walio wake, wakati atakapokuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kila mmoja mahali pake; limbuko ni Kristo; baadaye walio wake Kristo, atakapokuja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kila mmoja atafufuliwa kwa mpango sahihi. Kristo alikuwa wa kwanza kufufuliwa. Kisha atakaporudi, wale walio wake watafufuliwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini kila mmoja kwa mpango wake: Kristo kwanza, halafu wale walio wake Kristo wakati Kristo atakapokuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kila mmoja kwa mpango wake: Kristo kwanza; halafu wale walio wake Kristo wakati Kristo atakapokuja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kila mmoja kwa wakati wake: Kristo, tunda la kwanza la ufufuo, kisha, wale walio wake, wakati atakapokuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kila mmoja kwa wakati wake: Al-Masihi, tunda la kwanza kisha, wale walio wake, wakati atakapokuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kila mmoja mahali pake; limbuko ni Kristo; baadaye walio wake Kristo, atakapokuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kila mmoja kwa mpango wake: Kristo kwanza; halafu wale walio wake Kristo wakati Kristo atakapokuja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini kila mmoja mahali pake: limbuko ndio Kristo; pafuatana walio wake Kristo hapo, atakapojia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kila mmoja mahali pake; limbuko ni Kristo; baadaye walio wake Kristo, atakapokuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kila mutu atafufuka kufuatana na utaratibu wake; Kristo ndiye anayekuwa wa kwanza, na kisha watu wake watafufuka, wakati atakaporudia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini killa mmoja mahali pake; limbuko Kristo; baadae walio wake Kristo, atakapokuja.